Tulia Nami yakubalika Tanzania.

Bagz Badkampany ni msaani anaye ibukia kutokea kule kenya Nairobi Ksouth.Tarehe 30th July ameweza kulaunch mziki wake mpya “TuliaNami” kwenye facebook page ya kwake Wimbo abayo amemshirikisha msaani kutoka Tanzania “Tegeta” kajulikana kama “Dee’mavoice”

Huu wimbo imekubalika kenya kwa zaidi, ivi ikipata rounds za airplay  kwenye radio na fans wao ku request kwa sana…

Kwenye kanda wanazungumzia mapenzi na jinsi majirani wakati mooja wanaweza kuivunja ndoa… kwa mengi na zaidi una weza  check BELOW

To WATCH on Youtube >> CLICK HERE

To Download >> CLICK HERE

Click HERE to like Our Facebook Page.

IMG_4794

One thought on “Tulia Nami yakubalika Tanzania.

Leave a comment